Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Zipo mlimani cty -dar es salaamHabari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
nilikua huko mida fulani hivi ofisi zao zimehama kutoka pale mlimani tower opposite na mlimani city zumehamishiwa wizara ya elimu posta ghorofa ya chini kabisa kuhusu swala la code wanadai eti kila mwanafunzi katumiwa tayariHabari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
Si uende kwenye dashboard ya ac yako ipo..jamani mwenye namba za udom wakuu anipe
Kwa hio zipo posta mkuu kesho niendenilikua huko mida fulani hivi ofisi zao zimehama kutoka pale mlimani tower opposite na mlimani city zumehamishiwa wizara ya elimu posta ghorofa ya chini kabisa kuhusu swala la code wanadai eti kila mwanafunzi katumiwa tayari
Kesho twende mkuu kwamba hatujatumiwaWrite your reply...acha tu bro Ata mm sija tumiwa
. Presha tu apaa daah
Mimi pia mpaka sasa cjatumiwa mkuuHabari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
kijana hebu naomba tuheshimiane natumaini hunipati kiumri hata kidogo si kila aliyekuwepo humu ni mwanafunzi mwenzio hebu heshima ifuate mkondo wakeSi uende kwenye dashboard ya ac yako ipo..
Acha uzembe kijana.
Kwamba unanisomesha wewe sio!kijana hebu naomba tuheshimiane natumaini hunipati kiumri hata kidogo si kila aliyekuwepo humu ni mwanafunzi mwenzio hebu heshima ifuate mkondo wake
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa jamaa TCU ofisi zao ziko maeneo gani .?
Zipo mlimani cty -dar es salaam
ofisi zipo jirani na ikulu zilipo ofisi ya wizara ya elimu hapo hapo mlimani city walishahama Sikh mingi sanaZipo mlimani cty -dar es salaam
utoto unakuzuzua bado ningemjua mama yako ningelala nae tu ili unipe heshima ambazo nastahili kupewa na wewe maana hakuna namna...Kwamba unanisomesha wewe sio!
Acha uzembe nenda kwenye ac yako, kama mambo ya umri weka cheti cha kuzaliwa hapa.
Mambo mengine ni ya kutumia akili tu.
hio Niko kama natoka mbg nichukue gari za posta auofisi zipo jirani na ikulu zilipo ofisi ya wizara ya elimu hapo hapo mlimani city walishahama Sikh mingi sana
Unabahati mama yako hakuingia anga zangu nningempa mimba uzaliwe wewe.. Mbona rahisi tuutoto unakuzuzua bado ningemjua mama yako ningelala nae tu ili unipe heshima ambazo nastahili kupewa na wewe maana hakuna namna...