R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,538 Reaction score 103,270 Dec 16, 2025 #1 Kuna ajira zimetangazwa na Public Service Recruitment Secretariat juzi ambazo zinaendelea kufanyika?????. My worries, isije kuwa mbinu ya kuwapoza GenZ kuwapotezea watu muda na fedha...maana hawa hawaaminiki tena! Ngoja tusubiri
Kuna ajira zimetangazwa na Public Service Recruitment Secretariat juzi ambazo zinaendelea kufanyika?????. My worries, isije kuwa mbinu ya kuwapoza GenZ kuwapotezea watu muda na fedha...maana hawa hawaaminiki tena! Ngoja tusubiri