Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Hackers kupitia account za twitter za New York Post na United Press International wametangaza kwamba marekani na china wameingia kwenye vita huko Asia pacific na pia Papa Francis amatangaza vita ya tatu ya dunia.
Kumekuwepo na matukio ya mara kwa mara hackers kupitia account za mashirika ya habari ya kimataifa kutangaza habari za uongo,mwaka 2011 account ya twitter ya fox news alihachiwa na hackers kutangaza Rais Obama ameuawa.