Mnaonaje tukiazisha ethical hacking group ya watanzania. ambayo tutajifunza na kuelimishana mambo mbali mbali. Tutakuwa tunachambua kuwa kudadisi weakness za system mbali mbali za zlizopo Tz na tunawashauri wahusika warekibishe bila kuleta uharibifu.
May be tukiwashauri wakionekana hawaelewi basi tuna tuna tuna teh teh teh teh
Ni maoni tu