Hackers hawa ni tishio

Naona tayari imechakachuliwa, Ingekuwa sehemu nzuri sana ya kufanyia majaribio yetu! teh teh teh

Kweli kabisa further expeiment zetu ningejaribu kuzifanyia hapo. site gani nyingine isiyo manufaa makubwa wa jamii tunaweza kujaribu kuwasumbua kidogo. teh teh teh teh teh ????
 
Kweli kabisa further expeiment zetu ningejaribu kuzifanyia hapo. site gani nyingine isiyo manufaa makubwa wa jamii tunaweza kujaribu kuwasumbua kidogo. teh teh teh teh teh ????

Unaonaje tukienda kwa wale jamaa wa Udaku ?
 
stop tryin to be crackers! HACKER is a very beautiful word! a CRACKER is a another person, lazy and skill-less m***f***er!

a HACKER solves problems! i use them interchangeably too!
 
TRATena hawa ni rahisi sana, server header yao iko hiviApache/2.2.4 (Win32) DAV/2 mod_ssl/2.2.4 OpenSSL/0.9.8e mod_autoindex_color PHP/5.2.2HTTP Server yao iko powered na PHP/5.2.2Sema su!
mie nasema Su!
 
Sema website nyingi za kibongo hazina sensitive materials kwasab vitu vingi bado vinafanyika manually maofisini.
 

Mkuu, post yako hii imenitouch vibaya sana. Yaani umesema kitu kikubwa zaidi ya kinavyoweza kuandikika. Bravo Mkuu!!

Kuhusu Lulz, nimekuwa mfuasi wao kwenye twitter kwa kipindi sasa... the guys are audacious and pompously nasty!!! Come to think of, it's funny though the path they've chosen, as I keep reading about quarrels with other hackers (as you would expect, you know many of them are on playstation network too, so got the rusty blunt side of their fellow evil doers! lol)... Even funnier for me is their theme song - The Love Boat ... Kila ninaposoma habari zao naona wanakataa kufananishwa na aina ya hackers wengine wowote wale... as they do things for fun!!

With your post above, am gonna give this thread 5 stars!!
 
tell me they did not!!! cia.gov???

This is one of the " official" releases


check other fun releases of thier work here Lulz Security® (LulzSec) releases
 
Nchi za wenzetu wanakuwaga na mashindano ya kuhack systems ili kuangalia security flaws na kuzi fix up, sisi bongo huku naona tumelala sana kwenye hiyo sector inabidi kuwachangamsha kidogo, I will try something and I will let you know guys...
 
Gud sniper, that is what needed katika technology. Tangulia n ntakuunga mkono soon ngoja niingie mzigoni nipige msuli wa hacking tricks n tweeks.
 
Gud sniper, that is what needed katika technology. Tangulia n ntakuunga mkono soon ngoja niingie mzigoni nipige msuli wa hacking tricks n tweeks.

ukitaka kuwa hacker, watu hawasomi hvyo!
 
Nimemaliza ku scan Tovuti ya Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania nadhani hii ni taasisi amabyo tunaambiwa ina best brains in tanzania . But the report nayopata mhhhh Tovuti yao ina vulnerabilities za hatari zifuatazo
  • 129 SQL injection vulnerabilities
  • 25 Cross Site scripting loopholes
  • 1 cookie manipulation
Kifupi BOT ndo tovuti niliyokuta ina mapungufu yenye RED alert.

Its shame sababu nimetembelea na ku scan hata website za kina NSSF, TRA na hata ya udaku u -turn hakuna loophole ya SQL injection wala XX scripting. Je Ni tvuti gani inayotakiwa kuwa secure zaidi.!!!!!!!!

Please BOT msile mishahara ya bure Otheriwse itabidi tuwaombe wabunge wa do the needeful. Weakness ya tovuti yenu haindenai na vichwa tunavyoomnishwa kuwa vinaajirwa hapo. Au Otherwise itabidi tujaribu kuinject hizo script wenyewe kabla hawajaja wengine teh teh teh

Anayetaka kuprove usahihi wa nachosema afanya scanning kwa Web application security - Acunetix Web Vulnerability Scanner

Hao TRA na NSSF wana mapungufu madogo madogo ibongo bongo nadhani sio mbaya. BOT mhhhhh


Nawasalisha kama External freelance IS auditor. teh teh teh
 
The more you build a strong security systerm the more its hard to penetrate but if penetrated its hard to fix......lol



Hackersall over the world Keep the Good work and lets Make things free for Everybody......coz why sell them.....?
 
China's #1 search engine, Baidu, was hacked yesterday morning by Iranians wa iran walikuwa wanatafuta infos gani kutoka kwa hawa wa comunnist ?









 

Attachments

  • baidu-hacked-by-iranian-cyber-army-01.jpg
    72.2 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…