hachomoki mtu hapa

Huyu mama alivoshiba kijana kawa kama sisimizi.
anajuuta kumfahamu huyo mama
 
Amekula bila kulipa atalijua jiji mbele ya baunsa
 
Huyu mama ni lazima atakuwa wa pale Soweto Mbeya!!!
 
Huyo mama akiwa mkeo ndani lazima nawe uwe baunsa
 
Mwanamke baunsa huyo hapana chezrya hivo ndo nnavotaka eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…