The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,813
Aisee,kama ni HIV si bora ARV maana kila siku kwa life yote au unamaana gani ya hiyo kila siku without a limit.Pia vip kwa side effect,kwa tatizo la kisukari unatumia the same way atakavyotumia mtu wa HIV,Ulcers,Moyo n.k?Tumia dawa hii kwa vidonda vya tumbo, Utachanganya matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa, katika kikombe cha Asali na kijiko kimoja cha maganda ya komamanga yaliyokaushwa na kusagwa. Utakula kila siku kabla ya kula chakula; baadae Utakunywa glasi ya Maziwa yasiyotiwa chochote
Ndio Dawa yangu inatibu Maradhi yote unaweza kutumia kwa muda wa mwezi mmoja kisha uende kupima. Kwa Mtu Mwenye Ugonjwa wa kisukariAisee,kama ni HIV si bora ARV maana kila siku kwa life yote au unamaana gani ya hiyo kila siku without a limit.Pia vip kwa side effect,kwa tatizo la kisukari unatumia the same way atakavyotumia mtu wa HIV,Ulcers,Moyo n.k?
Asante kwa kutuletea Feedback Mkuu cool d Ubarikiwe mbinguni.
Mbegu za ufuta na mbegu za Habbat Sawda ni vitu 2 Tofauti kabisa. Habbat Sawda ni lugha ya Kirabu kwa lugha ya kiswahili ni mbegu nyeusi za vitunguu Maji.Angalia Picha Ufuta upo Mweupe na Habbat Sawda upo Mweuesi usijichanganye kabisa.mie sijaelewa kama najichanganya au hizi habat sawda no mbegu za ufuta au maana sijaielewa picha na sizijui mama yangu anasmbuliwa na sukari
Nenda kaulize kwenye Maduka ya Dawa za kisunna utaipata.Gharama yake ikoje, yaani inauzwa bei gani?
Haba soda.Kwa kiswahili inaitwaje tafadhali, halafu wengine mmeanza utani kwenye ugonjwa
Kwa kuswahili ni nini hizo mbegu
Mkuu mzima wa Leo mgonjwa wa kesho, huumwi wewe ataumwa ndugu yako au mtu wako wa karibu. Hivyo sio vibaya kujua tiba mbalimbali za maradhi yanayotusumbua binaadamu, Na hii sio Watanzania Tu hata nje mfano Loliondo hata mataifa ya nje walihudhuria pale. Mimi Nyumbani kwangu huwa Ni kibox cha Dawa nimekiweka ukutani sehemu Mtoto Mdogo hawezi fikia, naweka akiba ya Dawa ya maradhi ya Kama kuhara, malaria, kidonda kukohoa na za kupunguza maumivu. Views isikutishe mada nyingi huwa Na views wengi kuliko wachangiaji.Kweli watanzania tunaumwa, congratulation mzizimkavu
Just imagine viwers more 1,000 !!!!!!!!!!!!!!!
Eee Mungu muumba wa Mbingu na Dunia tuepushie mbali janga hili
chukuwa Mizizi 5 ya Mtulatula mchemshie umpe anywe kikombe 1 asubuhi na kikombe 1 jioni tumia hiyo dawa kwa siku 5 au siku 7atapona.Mzizi mkavu mwanangu anasumbuliwa na tumbo toka mdogo wakati wa mawingu ana umri WA miaka tisa.watu wananiambia ngilj nitumie dawa gani?