Mara nyingi hayo mafuta y habat sauda yanapatikana kwenye maduka y waislam.....Nakumbuka mwaka jana niliyanunua nje y msikiti w Riyadhwa Moshi......Na bei yke n cheeee kichupa ki1 nilinunua kwa sh.5500