hahaaaaa, mkuu mbona hio ipo hvyo sema inakua indirect, mtu anapostaff nafasi yake ikachukuliiwa haimaanishi ww unayeajiriwa kuziba nafasi yake ndio utaenda moja kwa moja kufanya kwenye kitengo/kazi aliyoiacha, hembu ngoja waje wenzangu, maana nimekunywa uji wa mhogo asubuh subuh