Unajitahidi mkuu, lakini ni kama unaiga watangazaji fulani, ama huko chuo mkifundishwa, kwenye kipengele cha utangazaji wa habari kuna watu maalum huwa mnawachagua?