yassir ali salim Member Joined Dec 24, 2017 Posts 8 Reaction score 1 Feb 24, 2018 #1 Habari zenu wanajamii forums Jamani naomba kuliza Naomba munisaidie chuo cha udaktari ambacho kinapatikana kigamboni au kilicho karibu na hapa. Kwa anaejua tafadhali anieambie.
Habari zenu wanajamii forums Jamani naomba kuliza Naomba munisaidie chuo cha udaktari ambacho kinapatikana kigamboni au kilicho karibu na hapa. Kwa anaejua tafadhali anieambie.