Stephano Mwandiga
Member
- Dec 14, 2013
- 78
- 24
Mods naomba musiweke mbali uzi huu
Leo CHADEMA ndio wamefunga kampeni zao ambazo ziliongozwa na viongozi wa kanda na kimsingi chadema wanashinda kata hii
hivi ninavyo zungumza makamanda wameenda kufanya dolia kwani ccm wameanza kugawa rushwa bt hali ya kuwadhibiti iko vizuri na tunaamini hawachomoki mana leo hakuna kulala