Habari za sa hizi?!

Habari za sa hizi?!

beberu777

Senior Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
198
Reaction score
201
HIVI NI SHIRIKA GANI HAPA NYUMBANI LINAONGOZA KWA MSHAARA MNENE HAPA TAZANIA UKIONDOA TRA.
 
hapo unazungumzia ni shirika/taasisi zipi zinaongoza kwa rushwa baada ya TRA orodha hii hapa...
1 CCM
2 POLICE
3 TRAFFIC
 
Mbunge wa Chato baada ya kupewa UWANJA WA MICHEZO WA KIMATAIFA NA MBUGA YA WANYAMA sasa Kalemani anataka CHUO KIKUU !!!
 
TRA ni mamlaka shirika ni kama tanesco TBS alafu Kuna wakala mfano tanroads
Ila TRA hawana mishahara mikubwa kama ulivyoonyesha kwenye post yako zaidi wanaongoza kwa rushwa na ubadilifu
Karibu sana
 
Shirika la LERI/RELI mpaka sasa linaongoza, linafuatiwa na shirika la IKURU/IKULU
 
Back
Top Bottom