Balungi
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 234
- 162
YALIYOTOKEA MTWARA
Juzi kuna teja alikwenda kwa muuzaji akamuomba Tsh. 2000/- alipomwambia sina akamchoma polisi na akakamatwa. Basi mateja baada ya kuona pusha wao kakamatwa wakaona sasa dawa watapata wapi, wakatengeneza mchongo wamkamatishe aliyechoma ili wakutane huko huko lock up, akatokea mmoja akamuonesha video iliyo kwenye simu yule jamaa (mchomaji) huku akimpa simu, ile kuchukua tu, jamaa akamuitishia mwizi, almanusura jamaa achomwe moto pale stend akakimbilia ofisi za kukatisha tiketi na kufungiwa lakini wakati kichapo cha kutosha ameshakipata. Mwisho wa siku alitolewa na akapelekwa kituo cha polisi, huko akakutana na yule pusha.
*NB: Vita hii ina changamoto sana, tushirikiane kuiokoa jamii inayoangamia maana kama sio wewe leo basi ndugu yako, rafiki, jirani, classmate n.k ameathirika*