Habari za Morogoro

Habari za Morogoro

Sky Eclat

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,445
MAMBO YA MOROGORO YAMENISHINDA TABIA NGOJA NIRUDI DAR KESHO.
Kisaki na Dumila Morogoro.

Mwanaume huyu anayewaamulia mabinti ndiyo chanzo cha ugomvi,wanawake hawa mmoja anatoka Dar es salaam na mwingine morogoro mjini huku jamaa akisafiri sehemu mbalimbali akiwa ni dereva wa malori anayeishi jijini Dar es salaam na mkewe.

Aliondoka na mwanamke mmoja dar ili awe anamliwaza safarini lakini usiku mwanaume huyu alimuaga mpenzi kuwa anaenda kuonana na jamaa yake mbali kidogo na nyumba ya wageni walikofikia.
Kumbe jamaa alimpangishia demu mwingine wa morogoro chumba maeneo hayo hayo.

Demu kutoka dar akahisi kuna kusalitiwa kutokana na kufuatilia mazungumzo yao kwenye simu,akamfuata jamaa kimya kimya mpaka akawafumania na ugomvi ukawa kama hivi unavyoona!!!

Je hawa wanawake wanaomgombania huyu bwana wako sahihi kweli ukizingatia mwenye mume katulia tuliii jijini dar?
1136263
 
Know the difference between enjoying your youth and destroying your future.
@supernaturalincrease
 
Wanaume wa mikoani huwa hatugombewi na wanawake kwa sababu wanajua shughuli yetu
 
Kwahiyo, jamaa anawapakua wote hao,kila mmoja kwa wakati wake. Jamaa inaonekana dudu yake huwa hailali njaa,kha!
 
MAMBO YA MOROGORO YAMENISHINDA TABIA NGOJA NIRUDI DAR KESHO.
Kisaki na Dumila Morogoro.

Mwanaume huyu anayewaamulia mabinti ndiyo chanzo cha ugomvi,wanawake hawa mmoja anatoka Dar es salaam na mwingine morogoro mjini huku jamaa akisafiri sehemu mbalimbali akiwa ni dereva wa malori anayeishi jijini Dar es salaam na mkewe.

Aliondoka na mwanamke mmoja dar ili awe anamliwaza safarini lakini usiku mwanaume huyu alimuaga mpenzi kuwa anaenda kuonana na jamaa yake mbali kidogo na nyumba ya wageni walikofikia.
Kumbe jamaa alimpangishia demu mwingine wa morogoro chumba maeneo hayo hayo.

Demu kutoka dar akahisi kuna kusalitiwa kutokana na kufuatilia mazungumzo yao kwenye simu,akamfuata jamaa kimya kimya mpaka akawafumania na ugomvi ukawa kama hivi unavyoona!!!

Je hawa wanawake wanaomgombania huyu bwana wako sahihi kweli ukizingatia mwenye mume katulia tuliii jijini dar?
View attachment 1136263


Picha ina utata mkubwa aliyelaliwa amevaa kitenge na aliyejuu yake amevaa suruali lakini amesuka nywele,
 
Je hawa wanawake wanaomgombania huyu bwana wako sahihi kweli ukizingatia mwenye mume katulia tuliii jijini dar?

Asikudanganye mtu, na yeye atakuwa anagawa kwa kila rika
 
Kwahiyo, jamaa anawapakua wote hao,kila mmoja kwa wakati wake. Jamaa inaonekana dudu yake huwa hailali njaa,kha!


Mkuu unafanya mchezo na injini ya masafa marefu, ikiwashwa Dar haizimiki mpaka DRC
 
MAMBO YA MOROGORO YAMENISHINDA TABIA NGOJA NIRUDI DAR KESHO.
Kisaki na Dumila Morogoro.

Mwanaume huyu anayewaamulia mabinti ndiyo chanzo cha ugomvi,wanawake hawa mmoja anatoka Dar es salaam na mwingine morogoro mjini huku jamaa akisafiri sehemu mbalimbali akiwa ni dereva wa malori anayeishi jijini Dar es salaam na mkewe.

Aliondoka na mwanamke mmoja dar ili awe anamliwaza safarini lakini usiku mwanaume huyu alimuaga mpenzi kuwa anaenda kuonana na jamaa yake mbali kidogo na nyumba ya wageni walikofikia.
Kumbe jamaa alimpangishia demu mwingine wa morogoro chumba maeneo hayo hayo.

Demu kutoka dar akahisi kuna kusalitiwa kutokana na kufuatilia mazungumzo yao kwenye simu,akamfuata jamaa kimya kimya mpaka akawafumania na ugomvi ukawa kama hivi unavyoona!!!

Je hawa wanawake wanaomgombania huyu bwana wako sahihi kweli ukizingatia mwenye mume katulia tuliii jijini dar?
View attachment 1136263

Hapo hawapigani kwa ajili ya Jamaa huyo bali wanaigombania Mboo yake ambayo huenda ni Tamu kuliko zilizowahi Kuwangia tokea Wavunje Bikira zao.
 
Back
Top Bottom