Habari ya Mtawa Suzan Bathlomeo ilitokomea wapi

Habari ya Mtawa Suzan Bathlomeo ilitokomea wapi

Wadau naomba tukumbushane kidogo ile habari ya mtawa bathlomeo maana wengine tulikuwa kuwa kijijini hakuna network
Kwajinsi Roman Catholic walivyo wasiri...... Usitarajie kusikia chochote zaidi ya yale tulio yasikia yakisemwa na RPC wa Mwanza
 
Alikuwa Kala Pesa Nyingi Sana Za Bugando Hospital Ingawa Inaonekana Wazi Thread Yake Ipo Humu
 
Kwajinsi Roman Catholic walivyo wasiri...... Usitarajie kusikia chochote zaidi ya yale tulio yasikia yakisemwa na RPC wa Mwanza
Wala sio wasiri, ni watu hatari sana katika ulimwengu huu ...
Ukifuatilia hata biashara ya utumwa, wapo wakatoliki walokuwa wakibeba waafrika kwenda kuwauza Marekani.
Ogopa sana mtu anayekukataza jambo ambalo yeye ndo anafanya.
 
Huyu sister alijirusha kutoka ghorofani. Tuliambiwaa uchunguzi unafanywa, ila mpaka Leo sijajua nini kilimsukuma kuukatisha uhai wake.
 
Back
Top Bottom