Stahahada hyo imeanza lini sio ile ilofutwa na maguNina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza(1.17),ambapo amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano katika(Combonation ya CBG),Sasa swala linakuja kwamba HATAK kabisa kwenda kidato cha tano badala yake anataka kwenda kusoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi(Kemia na Baiolojia),je hatua zipi ambazo tunaweza kufanya ili aweze kubadili kutoka huko alikochagiliwa ili aende Chuo mwaka huu?,tumembembeleza sana aende kidato cha tano lakini amekataa.
Msaada ndugu zangu!
Hakuna hatua za kufuata kubadili hapo ata kidogo kikubwa asubiri dirisha la maombi ya vyuo vya ualimu ataomba kwa sasa bado hawajafungua.Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza(1.17),ambapo amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano katika(Combonation ya CBG),Sasa swala linakuja kwamba HATAK kabisa kwenda kidato cha tano badala yake anataka kwenda kusoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi(Kemia na Baiolojia),je hatua zipi ambazo tunaweza kufanya ili aweze kubadili kutoka huko alikochagiliwa ili aende Chuo mwaka huu?,tumembembeleza sana aende kidato cha tano lakini amekataa.
Msaada ndugu zangu!
Ipo mkuu ata mwaka jana ilikuwepo walidahiliStahahada hyo imeanza lini sio ile ilofutwa na magu
Nitafute pm mkuuNina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza(1.17),ambapo amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano katika(Combonation ya CBG),Sasa swala linakuja kwamba HATAK kabisa kwenda kidato cha tano badala yake anataka kwenda kusoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi(Kemia na Baiolojia),je hatua zipi ambazo tunaweza kufanya ili aweze kubadili kutoka huko alikochagiliwa ili aende Chuo mwaka huu?,tumembembeleza sana aende kidato cha tano lakini amekataa.
Msaada ndugu zangu!
Bado mkuu hawajasema lini watafunguaOk,ahsante ndugu,"Hili dirisha linafunguliwa lini ndugu"(samahan kwa usumbufu).
Pamoja sanaAhsante kwa kumjibu mkuu!