Habari wana Jamii Forum

Habari wana Jamii Forum

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
336
Reaction score
145
kuna kijana anaitwa emilwayne aliniuzia laptop humuhumu jamii forum! nikawa nataka aniwekeee window 8 ya 64 bits so ikabidi nimpe! kijana mwanzo nikaona n vbaya kumdhania vbaya kama tapeli, ila nw nimeamn kama anajitahidi kua tapeli maana kaniblock facebook jana nkamfollow twitter nkamtel aniletee laptop yang akaniblock leo! namb yake kaifunga ila telegram anazuga kama sio yy n mtu alieokota sim!
sasa yoyote anayemjua huyu kijana naomb ampe taarifa kua nampa mda mpka tarehe 13 mwez huu afanye vyovyote arudishe laptop kwa usalama wake, ikipita tarehe hyo ntashughulika naye effectively maana ntakua nshamaliza pepa ya chuo! au yeye akiona huu ujumbe aufanyie kazi!
Namba yake ni 0712868178,

namba yangu ni 0653 457659 kwa information yoyote!
 
CC; emilwayne
 
Last edited by a moderator:
Duh pole sana mijitu mingine inatuharibia jamii forum kwakweli
 
Hawa jamaa wanatapeliana Tu wameanzia kwenye mikopo hadi kwenye laptop
 
kumbe kuna vibaka na matapeli umu. aiseeee bora ninunue kitu kwa duka
 
kuna kijana anaitwa emilwayne aliniuzia laptop humuhumu jamii forum! nikawa nataka aniwekeee window 8 ya 64 bits so ikabidi nimpe! kijana mwanzo nikaona n vbaya kumdhania vbaya kama tapeli, ila nw nimeamn kama anajitahidi kua tapeli maana kaniblock facebook jana nkamfollow twitter nkamtel aniletee laptop yang akaniblock leo! namb yake kaifunga ila telegram anazuga kama sio yy n mtu alieokota sim!
sasa yoyote anayemjua huyu kijana naomb ampe taarifa kua nampa mda mpka tarehe 13 mwez huu afanye vyovyote arudishe laptop kwa usalama wake, ikipita tarehe hyo ntashughulika naye effectively maana ntakua nshamaliza pepa ya chuo! au yeye akiona huu ujumbe aufanyie kazi!
Namba yake ni 0712868178,

namba yangu ni 0653 457659 kwa information yoyote!
humu mkiambiwa kuna matapeli hamuelewi lakini tukiwambia mnatuona wanafiki unanunua kitu used kama wataka used nenda madukani kanunue halafu mtu mwenyewe ni wa kukutana kwenye mtandao
 
Hahahhaa wajinga ndo waliwao mjini hapa,ohooooo et unatishia nyao utadeal nae?wacha maneno yako ww hesabu maumivu tu jipange upya......
Mie nkimake a deal na mtu hapa kama n maintanance lazma nchukue copy ya kitambulisho chake cha mpiga kura ili liktokea la kutokea nimtafte kisheria zaid sasa ww namba ya simu tu,facebook na twitter mjomba hata kwenye katba hayamo lazma ukae tuuu
 
Hao ndo wakupigwa mawe humu mtandaoni

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hahahhaa wajinga ndo waliwao mjini hapa,ohooooo et unatishia nyao utadeal nae?wacha maneno yako ww hesabu maumivu tu jipange upya......
Mie nkimake a deal na mtu hapa kama n maintanance lazma nchukue copy ya kitambulisho chake cha mpiga kura ili liktokea la kutokea nimtafte kisheria zaid sasa ww namba ya simu tu,facebook na twitter mjomba hata kwenye katba hayamo lazma ukae tuuu

Hahahhha
Jidanganye kijana..!! Let see kitakachotokea..!!!
 
Hahahhaa wajinga ndo waliwao mjini hapa,ohooooo et unatishia nyao utadeal nae?wacha maneno yako ww hesabu maumivu tu jipange upya......
Mie nkimake a deal na mtu hapa kama n maintanance lazma nchukue copy ya kitambulisho chake cha mpiga kura ili liktokea la kutokea nimtafte kisheria zaid sasa ww namba ya simu tu,facebook na twitter mjomba hata kwenye katba hayamo lazma ukae tuuu

Kijana karudisha pesa jana,
 
humu mkiambiwa kuna matapeli hamuelewi lakini tukiwambia mnatuona wanafiki unanunua kitu used kama wataka used nenda madukani kanunue halafu mtu mwenyewe ni wa kukutana kwenye mtandao

rejea thread yangu iliyo sticky hapo juu
 
sibishan na ww kabisa! Kazi njema

humjui huyo mkaka na alipost humu ndani kuwa anatoa mkopo

kwa riba halafu wewe sio wa kwanza kuja kumuulizia kuna mwingine

nae alikuja kumtafuta keshamuibia na sim zake hazipatikani..muwe makini
 
Huyo dogo napajua kwao, mzee wake namjua vzur sana maana jana mzee wake niliunda nae udugu! so kama una tatizo lolote kuhusiana na yule dogo niambie, dogo mwnywe kamaliza form four mwaka jana mwl unamzingua tu ule! hajui lolote kuhusiana na laptop wala cm! naambiwa na jamaa yake hayo maneno!
 
Mimi hua nikiona tangazo humu naliacha kama lilivyo maana maduka mengi,mafundi wanaofahamika mtaan wapo kibao,endeleen kutapeliwaaa
 
Sikilza hilo sio suluhish, mtu katapeliwa gari la 50m na kapewa kila kitu kadi zote na kanunua kwny yard! yaan sio suluhish kabisa mkuu!
 
Back
Top Bottom