Habari wana Jamii Forum

Habari wana Jamii Forum

mbona leo amejitangaza kwenye bandiko lake
hukuhuku bandiko linasema hiivi:

"MWIZI WA MTANDAONI AKAMATWA"
na ssasa hapa wewe unasema vingine
tena kuwa amekutapeli mnatuchanganya
hebu fuatilia uzi kule ili uone kilichotokea
kuna kijana anaitwa emilwayne aliniuzia laptop humuhumu jamii forum! nikawa nataka aniwekeee window 8 ya 64 bits so ikabidi nimpe! kijana mwanzo nikaona n vbaya kumdhania vbaya kama tapeli, ila nw nimeamn kama anajitahidi kua tapeli maana kaniblock facebook jana nkamfollow twitter nkamtel aniletee laptop yang akaniblock leo! namb yake kaifunga ila telegram anazuga kama sio yy n mtu alieokota sim!
sasa yoyote anayemjua huyu kijana naomb ampe taarifa kua nampa mda mpka tarehe 13 mwez huu afanye vyovyote arudishe laptop kwa usalama wake, ikipita tarehe hyo ntashughulika naye effectively maana ntakua nshamaliza pepa ya chuo! au yeye akiona huu ujumbe aufanyie kazi!
Namba yake ni 0712868178,

namba yangu ni 0653 457659 kwa information yoyote!
 
mbona leo amejitangaza kwenye bandiko lake
hukuhuku bandiko linasema hiivi:

"MWIZI WA MTANDAONI AKAMATWA"
na ssasa hapa wewe unasema vingine
tena kuwa amekutapeli mnatuchanganya
hebu fuatilia uzi kule ili uone kilichotokea

Nimeiona hyo quote yake, na kama ulkua unafatilia nimecoment pale
 
Mimi hua nikiona tangazo humu naliacha kama lilivyo maana maduka mengi,mafundi wanaofahamika mtaan wapo kibao,endeleen kutapeliwaaa

usiseme hivyo dada ..hawa vijana wana tuaribia sana humu jf mfano km mimi nimesha nunua simu kama nne laptop 1 na nimeshauza simu 2 scaner na cpu kwa nyakat tofauti ..humu humu jf..kikubwa ni umakini na kumuamini usiyemjua vizur... kama juzi kuna mtu alitangaza anauza simu alikuwa anadai mpya lakini me nikahisi kama sio tapeli bhas atakuwa mkwel nikachukua contact zake nikampigia nikamwambia naitaka hiyo simu (_kwa mashart niliyompa akaanza kunizungusha kuonana akawa km anaogopa) nimempigia simu asubuhi tumekubalina tukutane akazima simu mwishowe mchana nikamtafuta nikipiga akawa anakata ,nikaachana nae baadae akanitext kuwa ameshauza ndio mana akurespond call zangu nikakaa kesho yake nika mpigia tena kwa namba nyingine nikajifanya namuuliza vip nimekuta post yako nika chukua namba yako jf vp simu bado ipo ? akajichanganya akaniambia ipo ...nikagundua huyu tapel nikaanza kuumpa condition zile za jana aliponijua akakata simu fasta ...
 
Yap umefany la maana sana, hua mtu ambaye ana nia ya kuuza utamjua tu hababaiki kabisa! ila tapeli atazima cm kila mda na kufunga line kabisa!
la msingi n kua makin tu!
ila kingine kama hujawah kumtapeli mtu au kumdhulumu mtu siku ukitapeliwa lazma Mungu akusaidie juu ya hilo na mali yak inarud!
mfan mm cjawah kutapeli hata cku moja coz naona n tamaa za mda mfup na najikosesha aman, so hata huyo emilwayne alivyokua anataka kunijarbu nkampa alart mapema sana na juzi nkapata mali yang kwa uwez wa mungu!
 
Back
Top Bottom