tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
mimi natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu wa masomo 2011/2012.Je chuo kama UDSM kitaanza lini masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaotegemea kujiunga mwaka huu? Naomba mwenye taarifa anijuze.
Sap zingekuwa zinatolewa kwa mtindo huu wangapi wangefaulu? Hata chuoni kabla hujapata sap unakuwa umeshafundishwa/kueleweshwa, sasa wewe hujamfundisha unampa sap!!!!!!! Nadhani hufai kuwa kuwa mwalimu maana wanafunzi wote watafeli.
Sasa msomi kafanikiwa mpaka kujiunga chuo. Anajua hata kutumia jamiiforum bado unateteta kuuliza swali kama hilo. si ndio watu wa namna hii umemfudisha hesabu za kutoa kwa mfano wa 4-1= 3. Kesho ukimuuliza 6-2 anakumwambia hujanifundisha.
Ndio hapo unaona watanzania japo tunasoma sana bado hatuelimiki. Usishangae kuna watu wamesoma sana mpaka wana phd au wanaitwa ma prof lakini hawajaelimika. Ndio maana unona hata Tanzania iko kama ilivyo. Tumekariri.
Kwa hiyo mkuu usitetee uzembe.Muuliza swali sio mtoto wa darasa la saba.
kweli jamii forums raha kuna wa2 wanachangia maada kama vile wamekatika vichwa! We m2 kauliza swali badala ya kumjibu unazunguka mbuyu kama hujui si ukae kimya tu? Wa2 wengine bana
dogo usihofu sana wadau wanakupa changamoto chuo kitafunguliwa mwezi wa kumi.mimi natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu wa masomo 2011/2012.Je chuo kama UDSM kitaanza lini masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaotegemea kujiunga mwaka huu? Naomba mwenye taarifa anijuze.