Polisi Tanzania ni kama hakuna ukienda na issue pilisi wao kazi ni kuomba hela ya chai, sigara , kula etc. Kazi yao kubwa ni kulinda na kushughulikia shughuli za mafisadi na magamba kwa mwanachi wa kawaida kwa kweli pilisi hawapo ukipata issue ambayo itahitaji huduma ya polisi ndio utawajua kisawasawa