Habari via ITV -Watu watano wapigwa mapanga mpaka kufa- Jeshi la polisi liko wapi?

Polisi Tanzania ni kama hakuna ukienda na issue pilisi wao kazi ni kuomba hela ya chai, sigara , kula etc. Kazi yao kubwa ni kulinda na kushughulikia shughuli za mafisadi na magamba kwa mwanachi wa kawaida kwa kweli pilisi hawapo ukipata issue ambayo itahitaji huduma ya polisi ndio utawajua kisawasawa
 
Ukiwaona polise wenyewe wa siku hizi wako busy na rushwa na wanacheza dili ova majambazi vile,tofauti ni kwamba wao wamevaa sare ya kazi lakini ni majambazi zaidi ya wale wa feri...liinji hili halina walinda usalama bali majambazi wenye sare za kaki

huko Arusha wako mtu na mtu wanadili na Lema na CDM yake,poleni sana ndugu zetu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom