Habari nzuri nicol

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
279
Nimefarijika kusikia vijana wanahisa wa nicol wamepanga kuwaondoa viongozi wa kampuni hii na kushika hatamu ya uongozi na kunusuru mitaji ya watanzania waliowekeza katika kampuni hii, hayo yametokana na kusuasua kwa uongozi dhabiti unaopelekea kuzama kwa mitaji ya wananchi wengi wa kipato cha chini

vijana hao niliowasiliana nao wameniakikishia kuwa kikao kitachofanyika mwezi ujao ndio utakuwa mustakabali wa muhimu wa kampuni hii, na wao wamechoka kuendeshwa kibabe


wito wangu ni kuwa kama kuna wanachama wengine wajaribu kuungana na hili kikao hicho kiwe ukombozi kwa hisa zao
 

Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,414
3,598
ths good! tatizo vijana wengi share zetu za kubip na jamaa wana share nyingi na siunaelewa hata kama vidole utahesabiwa kwa share zako si jui itakuwaje tumechoshwa na wizi wa kijinga over six yrs gawiwo mara moja tena kiduchu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom