M mabereka Member Joined Dec 4, 2012 Posts 23 Reaction score 3 Jan 7, 2013 #1 wadau mh rais wakati anazindua matokeo ya sensa alisema kuna ajira zaidi ya 400 kwa ajiri ya kufanya tathimini ya sensa,hivyo nawasilisha kwenu wadau mwenye updates kuhusu tathmini hiyo itafanyika lini atupe taarifa,
wadau mh rais wakati anazindua matokeo ya sensa alisema kuna ajira zaidi ya 400 kwa ajiri ya kufanya tathimini ya sensa,hivyo nawasilisha kwenu wadau mwenye updates kuhusu tathmini hiyo itafanyika lini atupe taarifa,
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Jan 7, 2013 #2 google acha uvivu