Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,647
The website is crowded, ni link ipi kwenye website napata information hiyo hapo juuWatumishi portal ni mfumo mpya unao mwezesha mtumishi wa umma kupata taarifa mbali mbali za mishahara,mikopo,kutafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi,kutoa malalamiko na maoni mbali mbali
tembelea:www.utumishi.go.tz
Seen, thanks!The website is crowded, ni link ipi kwenye website napata information hiyo hapo juu
tembelea website ya utumishi au google utumishi portalThe website is crowded, ni link ipi kwenye website napata information hiyo hapo juu
acha kutegemea mshahara wenzako mwaka mzima wana uacha bankHeading yako mie nikajua unatujulisha kuwa MZIGO UMESHATUMBUKIZWA BANK TUKACHUKUE
acha kutegemea mshahara wenzako mwaka mzima wana uacha bank
salio tuna bana matumizi kwanzaDaah mi nikajua wameongeza salario
sario??!!! Unamaanisha salio?Daah mi nikajua wameongeza salario
utumishi umekuwa motosario??!!! Unamaanisha salio?
ongezeko la joto unazungumzia auAiseeee hivi mwezi huu tena kale kaongezeko hakapo?!!!!
Huko bank wanamwachia nani???acha kutegemea mshahara wenzako mwaka mzima wana uacha bank