Habari njema kwa Watumishi wa umma

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Watumishi portal ni mfumo mpya unao mwezesha mtumishi wa umma kupata taarifa mbali mbali za mishahara,mikopo,kutafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi,kutoa malalamiko na maoni mbali mbali
tembelea:Watumishi portal
 
kitu kama huna ndio unaona uzuri wake, kesho mshahara ufungwe jasho zito kama uji,hata shughuli mbadala zinakuwepo kwakuwa unasifa ya mshahara.unakopesheka .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom