mwanazuoni2
Member
- Mar 29, 2014
- 13
- 10
Leo muda wa saa tano bungeni nimemsikia waziri wa sheria mh Dr.migiro na mwenyekiti wa kamati ya sheria na. Katiba mh ngeleja kuwa wanatarajia kutoa ajira 489 za state attorneys kwa mwaka huu wa fedha 2014/2015.Kila la heri mliopita law school.