Habari njema kwa wale wanaotaka kujiajiri wenyewe


Nigerians..buusy!!!at work!
 
Wangu ata huo ufree mason auwezi kupa hizo pesa!pia 12000 kuzaa 20 million.ata Unga aunafaida hivyo.jipange 419 at work
 

we umeshapata mil 20?imechukua muda gani
 
Dah...! hyo c miujiza? au desi wamekuja kivingine? wachache wa mwanzo wanaweza shuhudia wamefanikiwa lakni mbeleni wengi wakaja tapeliwa
 

Hahah ! kweli bongo watu jelousy, wanafiki, waongo wamejaa kibao, na kwa hili hatuwezi kwenda mbele hata siku moja.
Na Jamii Forums imejaa watu wa aina hiyo kibao. Huwa nimeshatoaga ishu moja hapa ( Idea ambayo ni potential kabisa). Lakini ndani ya dakika tano nilishambuliwa na hakuna aliyenielewa kila nilivyojaribu kuwaelewesha. Lakini sikukata tamaa. Niliendelea kuifanya hapa nyumbani na nchi jirani (Rwanda) na ikafanikiwa na mpaka sasa hivi nimeshajiingizia kipato zaidi ya 200m za kitanzania ndani ya miaka 4.
Naiona pia katika hili. Kukatishana tamaa na kutoa ushuhuda wa uwongo. Haupati faida yoyote. Wewe unaposema umeibiwa 200$ ni muongo wa kupindukia, acha unafiki. Mimi nipo kwenye hii program toka mwezi wa tisa ilipoanzishwa duniani kote, lakini hamna kitu kama hicho. Watu ni wavivu wa kusoma halafu wanatoa ushuhuda wa uwongo. Ndo maana nimeweka link, unatakiwa kusoma kwanza ujue inafanyaje kazi na utatumia mikakati gani. Siyo kuropoka tu from nowhere. Na sikusema kuwa utapata hizo USD 20k kirahisi. Ni lazima ukomae, lakini inawezekana. Kama kuna mtu amesoma details zeke kwa jina jingine inaitwa 28 days contest. Kwa hiyo ni program ya kila mwezi na unatakiwa kujiunga na ushauri wengine wajiunge na wao wawashauri wengine wajiunge and so on. So mwezi ukiisha unaanza tena contest.

P.S: Mastercard, Visa na nyingine zina security ya hali ya juu. Kabla ya hela kuwa deducted lazima wafanye confirmation na bank husika na baada ya hapo ndipo process inaendelea. Ndo maana unaweza fanya shopping online kwa mfano Amazon ukalipia kabisa ikawa accepted lakini baada ya masaa 12/24 wakakutumia kwamba imefail kwa unatakiwa kuwasiliana na provider wako. So you gotta stop bluffing son :O
 
ninaamini maisha yenye amani ni kufanya kazi kwa bidii na malipo kadiri ya kazi.Wapi na wapi 12000 kwa 20m utapeli huo watz fungukeni mnaopenda dezo dezo zinaua na kuharibu maisha.:israel:
 

sipendi uongo kipengele cha kuchangia mbona mnakificha? Funguka mwambie mtanzania anatakiwa kuchangia dola ngapi? Sasa sema na hapo bado nadanganya na ikiwezekana nitaweka attachment bisha nikuumbue mkuu...samahan lakin
 
jamani sawa mm muongo ila hata wewe la saba sh 12000 na sh200million,nambie unauza madin online au?
 
kabeizer ni ww sasa unaetakiwa kuwaeleza ukweli wana jamii ili yasije kuwakuta kama ya kwako, pse funguka!
 
Kama hamna product, basi ni deci. Na kama ni service, ni ipi? Funguka. Mi niko Forever mtandao naujua vzr sana, huo usio na products unatia mashaka.
 

Pole sana. Ilikuwaje mkuu?
 
Huo ni uongo hii michezo ipo sana Ulaya inaitwa Pyramid inafanana na deci ya TZ, msidanganyike fanyeni kazi kwa bidii Mimi ninafahamu uchumi kidogo kwa kanuni za uchumi ni vigumu kuweka mtaji wa 12000 halafu ndani ya kipind kifupi upate milioni 20
Hakuna kitu km hicho upate faida mara asilimia lakini mbili. Kitaalamu(kiuchumi) ukiwekeza 12000 inatakiwa upate faida asilimia 25 ya 12000, yaani 3000. Kwahiyo tungetegemea kupata 15000 badala ya 20,000,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…