Habari njema kwa wakulima wa mahindi!!!

molwe

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
401
416
Habari waungwana. Kilimo cha mahindi kwa takribani miaka 3 sasa hapa nchini kwetu kimevamiwa na viwavi wanaoshambulia shina na kuathiri mavuno kabisaa. Hali hii imesababisha matumizi ya madawa makali na gharama kuubwa sana kwa wakulima. Lipo suluhisho la kustawisha mahindi bila kutumia kemikali na gharama nafuu kabisaa!! Kama unahitaji msaada unakaribishwa!!
 
Back
Top Bottom