Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

wANGEKUWA WACHAGGA KWELI WANGELETA MAENDELAO KWAO LKN HAO ULIOWATAJA, HUYO MAKINDA YUPO HUKO BUNGENI MIAKA NENDA MIAKA RUDI USHAONA TOFAUTI HUKO NJOMBE?

Sana sana amewezesha mgawanyiko wanaoita mkoa wakidhani ndio maendeleo.
Thubutu??!!! mikoa iliyotengwa miaka nenda rudi imebaki vile vile sasa hawa ndio wataleta mabadiliko gani? naweza kusema ni stupidity at large!
 
Lazima utakuwa unavuta Carbon na kupumua amonia, hii mada kawawakilishie magamba wenzako huko.
 
sina uhakika sana na uwezo wako any way ni hv hapa utamsifia filihunzombe kwasaba anamwelekeo wa kuleta maendeleo na huyo mkuu wa koa kwa unavomfahamu lakini siyo hao uliowaorodhesha na kama hzo lasilimali zilikuwepo tangu kuanza kwa CCM mbona hawakuzitumia iweje leo ushawishike kirahisi kiasi hicho kumbuka USIOGOPE KUITWA BUBU KWENYE KUNDI LA VIZIWI na usitegemee watu na lasilimali nzuri kufanya vizuri ndani ya mfumo ulioshindwa sasa unachotakiwa kutegemea ndani ya mkoa wako ni ufisadi siyo maendeleo kama unavoota USHAULI dawa peke kwa maendeleo ya mkoa na inchi ni kufanya mabadiliko ya mfumo siyo watu nadhani utakuwa umeelewa.
 
Kwa mfumo uliopo, hizo zako ni ndoto za mchana. utasubiri sana!!!
 
Duh.. Kweli akili ni nywele.. Kila mtu ana zake.. centralize baci ur story ili tuelewe ni lipi hasa unalolisemea.. Maana naona kila ukijibu comment unakuja kivingine.. Inakuwa kama post mpya vle..
 
ama kweli wewe inabidi tukupe ubingwa wa kuchomekea. Ulikoanzia na ulikoishia ni maajabu tosha! Kama goli la tiktaka vile!
 
Yani leo nimekutana na mwendawazimu (mkereketwa wa magamba) ana kwa ana nikaona mahali pakupata refresh ni kwenye jamvi letu! Mara nakutana na uharo... Jamani tuhurumiane, huu ni uwendawazimu, eti kupata maendeleo yaliyoshindikana kwa miaka 50 kisa mkoa mpya na wabunge wasomi ndani ya mfumo ulio shindwa!

Huyu mleta mada kajisifia yupo majuu anabukua na mwendo ni wa masters na phd, lakini nionavyo mimi ili kutatua tatizo kwanza utambue kiini cha tatizo, sasa mwenzetu anaonekana hata kiini cha umaskini wetu hajakijua, yeye anadhani kuwa na wasomi na rasilimali basi yatosha kupaa kimaendeleo! Akamuulize Chenge ni Harvardian na atokako ni dhababu tupu lakini umasikini umeshika kasi. Ukweli sisi ni maskini kwasababu ya 'mfumo' mbovu wa utawala wa ccm ambao hao aliowataja kwamba wataupaiza uchumi wa mkoa wako chini yake katika kutekeleza majukumu yao.
JAMANI WANAJAMVI NI HIVI 'KUTARAJIA KUKWAMULIWA KIMAENDELEO/KIUCHUMI NA CCM NI UWENDAWAZIMU',
Nawakilisha
 
Kweli wewe ni mgonjwa wa akili (lukwale lwa nyoho) unahitaji tiba haraka sana kabla hujaleta madhara makubwa kwa jamii inayokuzunguka.
 

Faiza Foxy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…