Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
[emoji3] "mtafiti si mshauri" amejibu vizuri sana msomi mwenzangu huyoTaasisi moja ya utafiti huko ughaibuni imegundua kuwa mwanaume anayejichua ananafasi kubwa ya kumzalisha mwanamke ukilinganisha na asiye jichua.
Kwamujibu wa Dk Mike mtu anayejichua mwili wake hujenga tabia za kuzalisha mbegu nyingi kwakuwa matumizi ni makubwa hivyo asipojichua kwa siku 3 akikutana na mwanadada aliye ktk siku za hatari atamwachia mwachia mbegu nyingi sana maana mwili utakuwa umezalisha na hazijatumika kwa siku kadhaa....
Alipo ulizwa endapo anashauri vijana wengi kujiunga chaputa au la Dr Mike alicheka na kusema yeye ni mtafiti na si mshauri.
My take: Mambo ya kutafiti sikuhizi sijui yameisha!
We jamaa inakuwaje nyuzi nyingi unakuwa wakwanza ku reply? Au hukosi 3 bora.Aisee hizi tafiti nyingine pasua kichwa
We jamaa inakuwaje nyuzi nyingi unakuwa wakwanza ku reply? Au hukosi 3 bora.
Mkuu...Kwenye Research....Utafiti huwa mwishoni kuna recommendation za huyo mtafiti...yaani Mtazamo au maoni yake kulingana na alichotafiti na taarifa alizonazo.Taasisi moja ya utafiti huko ughaibuni imegundua kuwa mwanaume anayejichua ananafasi kubwa ya kumzalisha mwanamke ukilinganisha na asiye jichua.
Kwamujibu wa Dk Mike mtu anayejichua mwili wake hujenga tabia za kuzalisha mbegu nyingi kwakuwa matumizi ni makubwa hivyo asipojichua kwa siku 3 mfululizo kabla ya kukutana na mwanadada aliye ktk siku za hatari atamwachia mwachia mbegu nyingi sana (mara 2.3 ya asiye jichua) maana mwili utakuwa umezalisha na hazijatumika kwa siku 3 na zitakuwa na pressure kubwa hivyo kufikia yai kirahisi.
Alipo ulizwa endapo anashauri vijana wengi kujiunga chaputa au la Dr Mike alicheka na kusema yeye ni mtafiti na si mshauri.
My take: Mambo ya kutafiti sikuhizi sijui yameisha!
puli ni kama bangi kwangu sidhanikama ntaachaTaasisi moja ya utafiti huko ughaibuni imegundua kuwa mwanaume anayejichua ananafasi kubwa ya kumzalisha mwanamke ukilinganisha na asiye jichua.
Kwamujibu wa Dk Mike mtu anayejichua mwili wake hujenga tabia za kuzalisha mbegu nyingi kwakuwa matumizi ni makubwa hivyo asipojichua kwa siku 3 mfululizo kabla ya kukutana na mwanadada aliye ktk siku za hatari atamwachia mwachia mbegu nyingi sana (mara 2.3 ya asiye jichua) maana mwili utakuwa umezalisha na hazijatumika kwa siku 3 na zitakuwa na pressure kubwa hivyo kufikia yai kirahisi.
Alipo ulizwa endapo anashauri vijana wengi kujiunga chaputa au la Dr Mike alicheka na kusema yeye ni mtafiti na si mshauri.
My take: Mambo ya kutafiti sikuhizi sijui yameisha!
Hahahaha mkuu tuko same cyclepuli ni kama bangi kwangu sidhanikama ntaacha