Habari njema kuhusu free proxy

Habari njema kuhusu free proxy

Sasa nipo chimbo napiga experiments nina proxy zinapiga kazi fresh kama kawa, naangalia njia nzuri ya kuwajuza ili wasije kush2kia kama mwanzo.

Poa we hangaika pande hizo na sisi tupo chimbo tunaumiza vichwa!ukipata ni PM na mimi nikizipata ntaku-PM!
 
sio kama proxy ndio zimeblockiwa. proxy zinapiga kazi kama kawaida, tatizo site imeblockiwa. weka hela uone, utumie proxy. inapiga kama kawa....
mie usinipe
 
sio kama proxy ndio zimeblockiwa. proxy zinapiga kazi kama kawaida, tatizo site imeblockiwa. weka hela uone, utumie proxy. inapiga kama kawa....
mie usinipe
cjakuelewa mkubwa zinapiga kaz na hela hawaikat au?
 
Back
Top Bottom