HATA SIKULAZIMISHI USOME,
IKIBIDI HATA USISOME BE.....
eti mmeachana unalalamika ohoo kanipotezea muda wangu, kupotezewa muda
unalalamika? -------- kweli wewe, kuna watu wamepotezewa mpaka roho
zao wako makaburini kimyaaa hawalalamiki, kwanza kwani huo muda
aliUtumia peke yake? si mlikuwa wote nyie? sasa je? mmepotezeana muda
au kakupotezea?
mwingine tena eti ohooo unajua nilimgharamia sana, unalalamika
mwenyewe, ulimgaramia kwa lipi? kwani alikulazimisha? na we si ulikuwa
unamgharamia ili upate unachokihitaji au? ulipata hukupata? kama
ulikuwa unapata unalalamika nini, unataka kurudishiwa chenji? --------
wewe, tena ukute ulikuwa unampa vishikumikumi, hata hela ya vishete
nayo ulimgharamia ha ha ha haa, umevurugwa siyo bure, kuna watu
waliwanunulia nyumba mademu zao wameachana afu kimyaaa, we mweye hela
za kuunga unga lo! kelele balaa, tutolee upumbavu wako hapa
eti unakonda, dume zIma huli kisa umeachwa! ebo! wendawazimu huu eti,
we unajipa mateso kisa!, umeambiwa wanawake wameisha? ndo ujifunze,
utamwaminije binadamu mwenzio mpaka unampa moyo wako wote, ndo mkome
sasa, jifunzeni sio kulia lia hapa, au hamjui kama mapenzi ni ushenzi?
mambwa nyie..
kama unataka mapenzi ya kweli jua hayapo, nakwambia tena mapenzi ya
kweli yalizikwa miaka mingi, siku hizi mnapoteza muda tu,ni nadra
kumpata mpenzi mwenye kupenda kweli kama WASTARA, siku hizi watu
wanapenda pochi bwana, mengine wanatupia huko, NDO MTAFUTE HELA SASA
MPENDWE NYIE SI MABWEGE BWANA, nakuambia tena wa kufa sijui na
kuzikana kama COMPLEX NA VIVI hawapo. UKIWAPATA SHUKURU MUNGU.mjifunze
kila siku si mnawasikia wanasema MKE MWEMA ANATOKA KWA MUNGU ILA MME
BORA ANATOKA BANK, inamaana hamjawahi kusikia?, sasa mnajisumbua kuwapa
mioyo yenu watu kama hawa ili?, MTENDWE TU MNAJITAKIA WENYEWE.
MWISHO nawaambia siku hizi hakuna ndoa, wadada wa mjini wanataka
kuolewa siyo kwamba wanawapenda sana, KWA TAARIFA YENU WANATAKA KUOSHA
NYOTA ZAO TU. ndo maana vindoa vyenu mlivyofunga kwa mbwembwe
mkatupigia kelele mjini vinajivunjikia tu kama biscuti zilizolowana
hivi.........NILIKUWA NA WASALIMIA TU JAMANI. MUWE NA SIKU
NJEMA