Dunia hii wapo watu kazi yao kupotosha Umma uliyeanzisha uzi huu ni miongoni mwao ila wapo watu kazi yao kuelimisha umma katika nyanja zote. Kwa michango yao na comment zao utawafaham tuu
yuwiii... mi mgeni
yaani nashangaa napewa pole wakati niko normal ha ha haa
ungekuwa normal usingetiririka kwa kejeli na haira hivyo
the fact that, u cant see that ur not normal makes u even more abnormall
anyway...... huwezi kumlazimisha mtu aamini kile unachomwambia mpaka yeye kaamua kuamini, ukweli ni kwamba nimejiandikia tu, tena hata siyo kwa hasira, ila tu nimeunganisha unganisha mawazo ya watu na post za humu JF na kwingine huko ndo nikaja na maanadiko haya......... amini siko normal maana siwezi kukubadilisha mpaka uamue
wamefuta ile kitu wallahi
asee, mwisho wa siku umeamua kunitukana kabisaa, miminiBABA SIYO MAMA
Really? wewe ni Baba? hebu acha masihara aisee
yani dume zima una mipasho kama Hadija kopa ama Isha Mashauzi lol
haya sasa ni majangaaaaaaaaa mbona majangaaaaaaaa
kama unataka kutukanana ama kugombana na mimi mi sikogi hivyo, kama vipi mwaga matusi yote utakayo ili ulizike, mi NINA MWAKA WA TANO HUMU JF SIJAWAHI GOMBANA NA MTU NA SITAKAA NIFANYE HIVYO, KAMA HUJAPENDEZWA NA POST HII UNGWPOTEZEA TU