Habari mimi ni mgeni humu

Mar 9, 2017
43
13
Habari zenu wapendwa, mimi ni mgeni humu Jf na ni furaha kubwa kujiunga humu na nyie waungwana nina imani tutashirikiana, shauriana, wasiliana na kuelemishana kwa pamoja waungwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom