Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Habari members...
Mimi ni mgeni humu Jf na nineijua punde tu Jf kupitia Facebook. Naombeni mnielekeze ,mnipokee na kuwa namm humu jf. Nitafurahi mkinikaribisha vizur pia kama nitapata marafiki wengi wa jinsia zote..
Mm mgeni wenu Ray van Boy.
Ahsanteni
Karibu sana,
Ila usije na upuuzi ulio tokanao fb, wala utoto utoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom