HABARI MBAYA KWA SEKTA YA UTALII TANZANIA (Imeandikwa Leo UK)

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
Source: http://www.itij.co.uk/story/139

Concern raised over violence against tourists in Tanzania


Posted Mon, 05/28/2012 - 10:47 by Mandy Aitchison




ETN Global Travel Industry News has reported that there has been an increasing number of violent attacks on tourists in Dar es Salaam (pictured), Tanzania, citing a letter that it says was written by the Hotels Association of Tanzania. The letter, which was sent to the permanent secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism, states: "On behalf of our members in Dar es Salaam, we wish to bring to your attention a rise in numbers as well as severity in physical assaults on tourists and the general public around hotels and restaurants in the city centre as well as in Masaki." The letter went on to draw attention to several incidents that occurred in one week in May – one on each night of the week – and each one close to a well-established hotel.

The UK's Foreign and Commonwealth Office states on its travel advice for Tanzania: "Although most visits to Tanzania are trouble-free, violent and armed crime is increasing, with incidents reported both on the mainland, Zanzibar and the islands. Muggings, bag grabs (especially from passing cars) and robberies, including forced withdrawal from ATMs, sometimes armed and accompanied by violence or the threat of violence, have increased throughout Tanzania especially in areas frequented by backpackers and expatriates."


The US State Department warned its citizens of a particular scam that has been reported by tourists and expats in Tanzania, whereby ‘a US citizen is approached by a Tanzanian gentleman (usually dressed in western style clothing – baseball cap, jeans, t-shirt, sneakers) who appears to speak very good English. He sees the US citizen waiting for transportation and offers to have his friend who is a taxi cab driver take the traveller to their destination. Once in the vehicle, the US citizen is threatened by the Tanzanian gentleman and driver to hand over money from their bank accounts as well as personal belongings'. The organisation added: "A continuing concern is Tourè Drive on Msasani Peninsula in Dar es Salaam. Tourè Drive is the beachfront road from the Sea Cliff Hotel into town, which provides an inviting view of the ocean. There are regular reports of daytime muggings, pick-pocketing, and theft from cars, and the road continues to be an area of concern any time of day on foot or by car. US government personnel are expressly advised to avoid walking or running along Tourè Drive. In Arusha, the high number of foreign tourists attracts pickpockets and bag snatchers." The Sea Cliff Hotel is also mentioned in the letter from the Hotels Association of Tanzania, which cited an incident involving tourists walking back to the Sea Cliff Hotel.


The Canadian Foreign Affairs and International Trade website warned its citizens: "Violent crime has increased throughout [Tanzania]. Exercise a high degree of caution, especially in Dar es Salaam and Zanzibar, and in public places such as hotels, restaurants, nightclubs, cinemas, and shopping centres. Muggings, attacks, and hold-ups occur occasionally in Stone Town and in the immediate vicinity of the coastal resorts on Unguja. You should be vigilant, particularly in Stone Town after dark." The Australian Smart Traveller website issued very similar advice.


N.B:

ITIJ ni International Travel Insurance Journal
 
Njaa za watanzania zitawamaliza ..utalii unachangia % kubwa kwenye pato la taifa mkiwafukuza na kuwaibia watalii mnakuwa kama vile mnajiloga wenyewe...bora muibiane wenyewe kwa wenyewe
 
Masaki na Oysterbay kuna matatizo makubwa. Watu wanatembea na bastola. Nilikuwa kwenye bar moja (Masaki) week juzi, wanaume wote wanapigwa search/metal detector kabla ya kuingia ndani! Amani na utulivu - not!

Lakini yote haya ni kwa sababu ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ukiondoa Cuba, hakuna nchi yenye human intelligence kama yetu, na kama kweli police wakiamua kufanya kazi hatutasikia hizi habari. Shida iko kwa police na hasa vibisile. Wamewekwa mfukoni.
 
After all hatutegemei watalii kutoka UK; watalii wengi wanaokuja Tanzania wanatoka USA & other European Countries na Wengi hawakanyagi Dar

Kenya kuna Mabomu ya Al-Shabab UK hawasemi chochote... kwasababu wana interest huko
 
After all hatutegemei watalii kutoka UK; watalii wengi wanaokuja Tanzania wanatoka USA & other European Countries na Wengi hawakanyagi Dar

Kenya kuna Mabomu ya Al-Shabab UK hawasemi chochote... kwasababu wana interest huko
Hapana nngu007, vyombo vyetu vya usalama vinapaswa kusimamia ulinzi kwa watanzania, wageni na mali zao, habari hii sio nzuri hata kidogo.

vyombo vyetu vya usalama hivi sasa vinajikita katika kudhibiti harakati salama kabisa za kisiasa kwa namna ambayo unaweza kufikiria viko very advanced kumbe vinajiingiza kimbumbu kwenye mambo ya kisiasa.

Ikiwezekana waziri wa Mambo ya ndani aachie ngazi, this place is increasingly becoming very very insecure. see what is happening in zanzibar??
 
tanzania yetu hazina iko ICU, halafu tena tunafukuza watalii.
sisi wabongo bana, tunapenda kweli kujitengenezea mabomu wenyewe
 
The concern authority should take the necessary measure. Seize the bull by its horns before things gets worse. However, this is a challenge to all Tanzanians, otherwise our tourism industry is put in jeopardy amid increasing poverty! Patrol and arrest the culprints and put them where they belong best. Behind bars! I agreed this is not news to people along the beach; it has been ongoing for couple of weeks now. Wengine wanatumia mercuy?? na kuyeyusha vioo vya magari mbele ya mahoteli maarufu ya kitalii na kuiba kila kitu. Kweli wazungu wanalizwa kila wiki. Yet no action taken todate.

Candid to my Country
 
Rais wa nchi kila siku yuko safari atajuaje nini kinaendelea? Labda tusubiri 2015 ****** sasa yuko likizo
 
Hapana nngu007, vyombo vyetu vya usalama vinapaswa kusimamia ulinzi kwa watanzania, wageni na mali zao, habari hii sio nzuri hata kidogo.

vyombo vyetu vya usalama hivi sasa vinajikita katika kudhibiti harakati salama kabisa za kisiasa kwa namna ambayo unaweza kufikiria viko very advanced kumbe vinajiingiza kimbumbu kwenye mambo ya kisiasa.

Ikiwezekana waziri wa Mambo ya ndani aachie ngazi, this place is increasingly becoming very very insecure. see what is happening in zanzibar??
Wakati wa kuikabidhi nchi kwa chadema umefika tuondokane na hii aibu
 
hizi stori + wabongo wanaokamtwa na bwimbwi kwa wengi magharibi+ albino killing + uwizi makazini ambapo wabongo wananfasi = nchi na watu itakuwa labelled kama crime people ambao best option ni kuwa-avoid mfano nigeria
 
Ninavyofahamu, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Mwema ameunda kikosi maalumu ndani ya jeshi lake kwa ajili ya Ulinzi wa Watalii. Nadhani wataanza kazi soon
 
Ngoja tumuone waziri wetu mpya atafanya nini, mimi naona Tanzania ina uwezo wa kutegemea utalii tu peke yake hii nchi bila hata ya kuhangaika na madini na kilimo.
 
Back
Top Bottom