Mvumbo Africa ni fumboAfrica duru hatupo huru
Madarakani kama Nkuru
Nziza ama aliyeamuru
Sukari ikawa guru
Wananchi akatudhuru
Wanatawala kwa sururu
Ona tume hazipo huru
Upinzani hauna nuru
Fumbua macho shukuru
Ya bongo siyo ya kaburu
Zipo njia mwana, ukiona mambo hayawiSong: Miss Chagga
Artist: Mvumbo
Verse 1
Hizi sio hadithi za laga
Nakuimbia Miss Chagga
Nakumiss na huwaga
Nahisi my utanimwaga
Sina pesa unanitesa
Vipi tutakuwa draw
Unataka niwe na rumbesa
Kama za watu wa Escrow
Sina uchawi wa Mshana
Niseme nifanye ndumba
Nakuwaza usiku mchana
Uwe wangu mchumba
Nawaza sana akilini
Unavyopenda pesa wewe
Maana mke wa masikini
Naelewa kuwadi mumewe
Bora chimboWawapi waliopiga mbiu, eti machangu waache habari
Ya nini nife na kiu, wakati mvuvi nipo kwenye bahari
Machangu watoto safi kama Eden
Na nikishakula tunda najisikia heaven
Muda wowote, nakula nnachotaka
Sio nifuate "ooh leo yupo kaka"
Tena hakuna vioja, kama penzi la mpenzi
Umekula mara moja, na unalipia kila mwezi
Ukitaka wembamba, ukitaka wanene
Wenye nane namba, ruksa kucheza sebene
Hakuna kufungana kamba, ooh sijui tuoane
Muda wowote unaramba, bora uwe na mapene
Demu ukipata mchumba, chunga sana usidilei
Siku hizi kuna mitumba, na chupi zimeshuka bei
Kweli ni mrembo wa kisasaNajua yeye ni mrembo sana, Ila Nacho jiuliza kwann anipendee Humu...
Au anataka nigeuza panya, Anitege kwa mitego na kisha aniwekee sumu..
Naamini Imani yangu imeiponya..
Hawezi kuwa nami naamini ye ana ngoma... [emoji54]
Mwana yaliyomo yamo, na wala sifanyi sifaNapitia pitia nyuzi, na habari moto moto
Nakutana na uzi, toka kwako Mtu mzito
Kwamba una makuzi, unapenda sana watoto
Ukiwaona huzungumzi, kama vile arosto
Weka wazi yupi anakudatisha
Ufunge kazi kwa pingu za maisha