Habari Kutoka MTWARA Ndio HII


Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara Mjini wakiwa kwenye maandamano makubwa waliyoyafanya kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.
















 
Gari linalosadikiwa kuwa lilikuwa limeandaliwa kwenda kumchukua Bibi Somoye Issa (90) ambaye ni Mkuu wa Kaya aliyetoa kauli kuwa gesi ikisafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, itageuka kuwa maji, kuchomwa moto usiku wa jana huko kijijini Msimbati, Mtwara. Kijiji cha Msimbati ndicho ambacho miradi ya kuvuna gesi asilia imesimikwa.


 
Mtwara: Serikali inavunja nchi kwa kutosikiliza Wananchi!

- Wajua kwanini Mkataba huu wa matrilioni ya Fedha unafichwa?
- Wastani wa kujenga bomba la gesi duniani ni dola za kimarekani 1.2 milioni kwa maili moja. Mradi huu wa Tanzania utagharimu dola za kimarekani 2.2 milioni kwa kilomita moja (maili 1 ni sawa na kilomita 1.6).



 
shemeji anataka vyote, mlimpa dada yenu sasa anataka gesi yenu. Chezeiya shemeji nyie.
 
kinachotakiwa na kwenye madini nako waamke, wenye chuma nk ili watawala waelewe hz rasilmali ni za wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…