MADAKTARI NJAA!
Sijui kuna bodi yoyote ambayo inashughulika na kupata habari za kiintelijensia za mahospitali yetu haya...!, maana kuna vituko vya ajabu.
How come unamwambia mgonjwa kwamba ...wewe ni wa kisu tu..??..ndo maadili ya uganga hayo?...Ama kweli hakuna taaluma siku hizi...inayopendwa ni ajira tu not anything else!
akaenda aghakhan hospit ndipo alipo mpaka sasa....
i
doh! Pole ahgakhan is the worst!!!!! I lost my wife in front of my eyes!!!!!!!
siyo kairuki tu ni zote ni bora kairuki nenda TMJ hata maiti inatozwa nauli kuiayamisha,Tatizo hatuna madactari{DR} serikali imeshindwa kuwalipa wote wamekimbilia nje,waliopo ni wababaishaji tulol, poleni sana! hap jamaa wa dk kairuki wanapenda hela! hakuna kingine!
Kweli mi mke wangu ndipo alipo jifungulia salama salimini,wale wanambembeleza mgonjwa kama mtoto,Agakhan si lolote si chochote juzi juzi kuna jamaa mmoja walimchelewesha mke wake mtoto akafia tumboni!we acha hii ni balaaKaka ungeenda MNH kama unahizo pesa za kumpeleka Agakhan MNH ungemuingiza first track, naona wao wanaimprovement kubwa, pole sana
Wanandugu majuzi nimempeleka ndugu yangu kwenye hii hospital ya dk kairuki,..wengi walinishauri hosp ya karibu tukaamua kumpeleka hapo
tulipofika binti alikuwa na mimba ya miezi 7 akaongea na dk jinzi ya kuendelea
na clinic na jinsi gani ya kujifungia hakika dk alitukatisha tamaa sijui alikuwa na stress na mkewe ama lah,..alipotujibu mimba ya ngapi akamabiwa ya kwanza ...aisee yaani ukija hii lazima tuitie kisu mimba ya kwanza nyingi ni kisu siku hizi tukamwacha akama dk 5 tukihisi anatania ..akasema else utapata shida kwenye kujifungua m sikudanganyi...
mmmmh nkasema kama ndio hivi ma ndugu tusonge mbele akaenda aghakhan hospit ndipo alipo mpaka sasa....
Imenishtua kidogo,..madk hata kama mnania operation msiwambie hivi wagonjwa mtawakimbiza jamani