Habari hii imekaaje?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Nimeletewa ujumbe ufuatao kwenye e mail yangu, wana jf mna maoni gani?

'' be careful from the 20th to 28 of this month,there is possibility of an acid rain.the dark circle appeared around the moon on 17th of last month and this is an indication of acid rain.apparently this happens once in 750 years.
It rains like normally but it may cause skin cancer if you expose yourself to it. So alert your dear ones.this information is from nasa.
Do not neglect.please forward this to your friends,better to be cautious than sorry.
Je habari hii ni;
1. Ni fix tu?
2.ni ukweli,tuikimbie mvua kama ukoma?. Naomba maoni.
 
haya mambo ya kuogopeshana tu..mbona haijatangazwa na vyombo vinavyohusika na hali ya hewa duniani..

Please nenda. google .seach labda..
 
Acid rain huwa zinanyesha tu inategemeana na kiwango cha uchafuzi wa hali ya hewa na ni kemikali gani iko nyingi hewani na hii iko sana ktk mataifa yenye viwanda vingi. Ukitaka kuthibitisha kinga maji ya mvua kwenye chombo cha plastic na hakikisha hayaingiliani na maji mengine then fanya chemical analysis utaogopa hata kuyanywa.
 
Mbona mvua hii inanyesha mara kwa mara? nadhani environmentalists wameamua tu kucreat awareness tu lakini hii ni kwaida tu, hebu kwa wanascience nijumlishie hii equation mtaona nini kitakuja. H2O + CO2. Nadhani ni kuongezeka kwa Carbon dioxide ndo wanajaribu kukuonesha kuwa kiasi cha acid chaongezeka!
 
Back
Top Bottom