Hivyo ulivyo wewe ni mzuri,can you corect the creator?ngoja nikuambie kitu usiwe ashamed na jinsi ulivyo kwa kuwa sidhani kuwa mtu anaependa kuwa na artificial partner,hivi huoni kuwa ni blessing kuwa kama ulivyo?wale walokatwa matiti wasemaje,i chalenge you ukutanapo na huyo so said partner wako kuwa muwazi kwako usishangae nae akaukuambia ana korodani moja(ni mfano tu) i mean strong relationship yeyote inahitaji uwazi na kujikubali jinsi ulivyo tena utapendewa hiyohiyo unayoiona ni defect,i encourage you never let anyone look you down ,Mungu alikuumba hivyo for purpose ,JIAMINI NA UTAPENDWA HIVYO ULIVYO