Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,562
- 3,558
Jina refu kama reli ya Sgr...!
humu wengi hatutumii majina halisi...
humu wengi hatutumii majina halisi...
Ulikuja humu kisa ushirikiane na sisi au kwa 'interest' zako. Fanya kilichokuleta, ushuru siyo kitu cha kuomba.Ndo maana nikasema mgeni maana nina nyuzi kibao Sasa nataka tushauriane wakuu
Cookie Smookie waitwa hukuCookie Smokey
Nimecheka sana jamani 😆😆😆
Acha uboya huku siyo fesibuku. Ko km ni mgeni tukufanyeje???
AsantePole jamani!