Haaland anatisha sana

Haaland anatisha sana

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
At 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than:

Ronaldo 🇧🇷
Michael Owen 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Francesco Totti 🇮🇹
Fernando Torres 🇪🇸
Nicolas Anelka 🇫🇷
Harry Kane 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
David Villa 🇪🇸
Ronaldinho 🇧🇷
Adriano 🇧🇷
Ronaldinho 🇧🇷
Zinedine Zidane 🇫🇷
Romario 🇧🇷

Huyu dogo hapo bado hajachezea timu zenye kutengeneza nafasi nyingi ..kama Liverpool au Man city au Psg Barca au Madrid keshavunja rekodi tele kama hivi..

Huyu dogo anatisha sana
 
Atoke uko uchochoroni aende timu kubwa akutane na presha ya timu kubwa ili atambe na sifa atakazo pewa zitakuwa kubwa. Uko vichchoroni ata Kama unaupiga mwingi sifa haziwi nyingi.
 
😀😀uyo ni balaa , atavunja na kuweka record kibao na anaweza kumaliza mfungaji bora wa ligi, na sa hivi media zitachoka zenyewe , sa hivi kizazi cha haaland kitaibuka, Messi na Ronald hakuna kitu tena


Hili jini kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom