HAA: SIMBA AKITULIZWA KIBABE

HAA: SIMBA AKITULIZWA KIBABE

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,969
Reaction score
5,898
Cheki Mugabe na Ubabe wake akitulizwa na wife.

MGABEEE.jpg
MGABEEE.jpg


SIO MCHEZO.
 
Mwanaume ni kiumbe dhaifu kwa mwanamke anayempenda kwa dhati
 
Mwanaume ni kiumbe dhaifu kwa mwanamke anayempenda kwa dhati

Si ajabu alikuwa anaomba papuchi mara baada ya hapo na wife anasema nooooooooooooooooooooooooo huwezi kitu bwana. teh teh teh
 
Huyo jamaa mwenye Tai nyekundu na bodgadi wanamwangalia sana festled.hivi hawaogopi kufukuzwa kazi?
 
The Power pf Kei, ni shida! Wanawake wengine hawajatambua tu jinsi walivyo na power inapokuja suala la wanaume! Hawajajua tu ila wana nguvu isiyo na mfano kwa wale wanaume ambao wamewapenda
 
Ikulu zinaficha mambo. Unaweza kuta raisi hajagegeda term nzima.
 
Kwa hiyo picha naona huyo Mwana Mama ndo anaiongoza Zimbabwe!
 
hahaha hz pcha za mzee muga huwa znaniachaga hoi sana,,kuna ile ingine ambayo anamwangalia mlinz wake
 
Back
Top Bottom