Ha ha ha haaaa

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,105
Reaction score
14,356
PESA IBILISI EBU SOMA HII KWANZA

MZARAMO V/S MCHAGA

Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako na kukuongeza laki nyingine.

MCHAGA akaona hii fursa ya kujipatia hela haiwezi mpita akaenda kutibiwa.

MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.." Mchaga akatoa.

MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."

Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena, hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu, nasahau sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'

MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'

MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.
 
hahahhahahahabbabahhahahhahahahhahahahah.....umenichekesha jamann hahahaaaaaaaaa
 
duh bado ciamn mchaga gan huyo hela inamtoka kzembe hvo,bt mbavu zang znauma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…