Asanteni wandugu, narudia tena asanteni.. Nimicheka mwenzenu hadi mbav zauma.. Kizazi hiki Cha pyua mase tutaona mengi.. Weka Gia Ndalichako.. Twenzetu Bado mauzauza ya zombi yako Mbele mengi tu
hili li peter mwanangu ni noma hivi linafikiri swali linaweza kua rahisi kama hvyo haaaaaah haaaaah, haya ndo yaliambiwaga Without table solve this mathematical problems, yakatoa meza na kuandikia chini, hii ndo tz ya digitareeeeeeeeee
hili li peter mwanangu ni noma hivi linafikiri swali linaweza kua rahisi kama hvyo haaaaaah haaaaah, haya ndo yaliambiwaga Without tables solve this mathematical problems, yakatoa meza na kuandikia chini, hii ndo tz ya digitareeeeeeeeee