Malunkwi JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 338 Reaction score 80 Sep 9, 2018 #1 Salaam wadau, Kwa wale wadau wa mazoezi naomba kufahamu Kama kuna mtu anajua Gym (Fitness Center) iliyopo maeneo ya Kibamba Dsm, kwa yeyote mwenye kujua ilipo naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kufika tafadhali. Natanguliza shukrani
Salaam wadau, Kwa wale wadau wa mazoezi naomba kufahamu Kama kuna mtu anajua Gym (Fitness Center) iliyopo maeneo ya Kibamba Dsm, kwa yeyote mwenye kujua ilipo naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kufika tafadhali. Natanguliza shukrani
Captain22 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 630 Reaction score 285 Sep 9, 2018 #2 Kibamba kubwa Sana Kaka. Wapi haswa unataka?
Malunkwi JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 338 Reaction score 80 Sep 9, 2018 Thread starter #3 Captain22 said: Kibamba kubwa Sana Kaka. Wapi haswa unataka? Click to expand... Popote kuanzia Shule, Chama, Kwa Mangi Hospitali, Luguruni nk
Captain22 said: Kibamba kubwa Sana Kaka. Wapi haswa unataka? Click to expand... Popote kuanzia Shule, Chama, Kwa Mangi Hospitali, Luguruni nk