kama una gari kua makini jamaa angu ashasafishwa kila kitu kuanzia power window, laptop, redio, door rubber nk baada ya kuvunja kioo kidogo pale nje kuna mlinzi kwenye atm baada ya kuulizwa akadai yeye halindi magari analinda ATM..... nadhan mwenye gym aimarishe ulinzi kwa wateja wake!!