HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,448 Reaction score 6,211 May 2, 2017 #1 Wananzengo habari za hapa bongo, Mimi ni mtanzania nilikuwa masomoni North Korea kwa mapank nimerudi sasa naishi Tabata reli hivyo nauliza sehemu ya mazoezi hapa Tabata ni wapi ilinikaendeleze maana kule nk ilikuwa lazima upende usipende.
Wananzengo habari za hapa bongo, Mimi ni mtanzania nilikuwa masomoni North Korea kwa mapank nimerudi sasa naishi Tabata reli hivyo nauliza sehemu ya mazoezi hapa Tabata ni wapi ilinikaendeleze maana kule nk ilikuwa lazima upende usipende.